Ufafanuzi wa kasirika katika Kiswahili

kasirika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    kuwa na hasira; ona vibaya.

    ghadhibika, chemka, hemka, futuka, chacha, hasika, rea, chukia, fura, hamaki

Asili

Kar

Matamshi

kasirika

/kasirika/