Ufafanuzi wa kaskazini katika Kiswahili

kaskazini

nomino

  • 1

    upande wa dira ambako mkono wa kushoto huelekea, wakati mtu anapotazama upande jua linakochomoza.

Asili

Kar

Matamshi

kaskazini

/kaskazini/