Ufafanuzi wa kasma katika Kiswahili

kasma

nominoPlural kasma

  • 1

    fedha zilizotengwa kwa matumizi ya idara k.v. vifaa, usafiri, michezo au utafiti.

    ‘Kasma ya michezo imeongezwa’

Matamshi

kasma

/kasma/