Ufafanuzi wa kasoko katika Kiswahili

kasoko

nominoPlural kasoko

  • 1

    shimo la katikati ya mlima/zaha/volkano.

  • 2

    shimo linalofanyika baada ya mpasuko.

Matamshi

kasoko

/kasOkO/