Ufafanuzi wa kasri katika Kiswahili

kasri

nomino

  • 1

    jumba la kifalme.

  • 2

    jumba la fahari; jumba kubwa.

Asili

Kar

Matamshi

kasri

/kasri/