Ufafanuzi wa kastabini katika Kiswahili

kastabini

nominoPlural kastabini

  • 1

    chombo kidogo cha chuma au plastiki kinachowekwa kwenye ncha ya kidole cha shahada wakati wa kuingiza sindano katika kitambaa, ili sindano isimchome mshonaji.

    subana, tondoo

Asili

Kar

Matamshi

kastabini

/kastabini/