Ufafanuzi msingi wa kasumba katika Kiswahili

: kasumba1kasumba2

kasumba1

nominoPlural kasumba

 • 1

  kileo kama bangi.

  afyuni, majuni

Asili

Kar

Matamshi

kasumba

/kasumba/

Ufafanuzi msingi wa kasumba katika Kiswahili

: kasumba1kasumba2

kasumba2

nominoPlural kasumba

 • 1

  mabadilisho ya fikira za mtu yanayosababishwa na elimu au utamaduni wa jamii, yanayomfanya afuate mwenendo usio mwafaka na utamaduni wake au utu wake wa asili.

 • 2

  mabaki ya fikira za kikoloni katika kichwa cha mtu.

Asili

Kar

Matamshi

kasumba

/kasumba/