Ufafanuzi wa kasumba ya kikoloni katika Kiswahili

kasumba ya kikoloni

  • 1

    propaganda anayotiwa mtu kichwani akiamini na kutenda mambo yanayooana na tabia za wakoloni.