Ufafanuzi msingi wa kata katika Kiswahili

: kata1kata2kata3kata4kata5

kata1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  pitisha kitu chenye makali k.v. kisu au makasi kwenye kitu ili kukigawanya katika visehemu.

  ‘Kata kitambaa’

 • 2

  ondoa sehemu ya kitu; tenga sehemu katika kitu; kata mkono; kata tawi; kata mshahara.

Asili

Kar

Matamshi

kata

/kata/

Ufafanuzi msingi wa kata katika Kiswahili

: kata1kata2kata3kata4kata5

kata2

nominoPlural kata

Matamshi

kata

/kata/

Ufafanuzi msingi wa kata katika Kiswahili

: kata1kata2kata3kata4kata5

kata3

nominoPlural kata

 • 1

  majani au kitambaa kilichoviringwa cha kuchukulia mizigo, kinachowekwa kichwani au begani.

 • 2

  kamba ndefu iliyoviringwa.

Matamshi

kata

/kata/

Ufafanuzi msingi wa kata katika Kiswahili

: kata1kata2kata3kata4kata5

kata4

nominoPlural kata

 • 1

  chombo kinachotengenezwa kutokana na zaidi ya nusu ya kifuu cha nazi au kibuyu na kutiwa mpini, hutumika kwa kuchotea na kunywea maji, uji, pombe, n.k..

 • 2

  mfano wa chombo hicho kilichotengenezwa kwa bati, chuma au plasiki.

Matamshi

kata

/kata/

Ufafanuzi msingi wa kata katika Kiswahili

: kata1kata2kata3kata4kata5

kata5

nominoPlural kata

 • 1

  kitu kinachobandikwa katika sehemu mwilini na kufungwa kwa kamba au kitambaa kwa ajili ya kuzuia maumivu au damu isitoke.

 • 2

  kizingatine, alfafa

Matamshi

kata

/kata/