Ufafanuzi wa kata kauli katika Kiswahili

kata kauli

msemo

  • 1

    dakiza mtu; kosa kuweza kusema kwa sababu ya ugonjwa mkali au mgonjwa kuwa mahututi au kwenye koma.