Ufafanuzi wa katalogi katika Kiswahili

katalogi

nominoPlural katalogi

  • 1

    kitabu chenye orodha ya vitu pamoja na maelezo ya kila kimoja.

  • 2

    orodha ya majina, vitabu, picha, n.k. iliyowekwa kwa utaratibu maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

katalogi

/katalOgi/