Ufafanuzi wa katazo katika Kiswahili

katazo

nomino

  • 1

    neno au tendo la kukataza.

Matamshi

katazo

/katazO/