Ufafanuzi wa katekisimu katika Kiswahili

katekisimu

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    kitabu chenye mafunzo ya msingi ya dini ya Ukristo kwa njia ya maswali na majibu.

Asili

Kng

Matamshi

katekisimu

/katɛkisimu/