Ufafanuzi msingi wa katikiro katika Kiswahili

: katikiro1Katikiro2

katikiro1

nominoPlural makatikiro

kizamani
  • 1

    kizamani tarishi, mesenja.

Matamshi

katikiro

/katikirO/

Ufafanuzi msingi wa katikiro katika Kiswahili

: katikiro1Katikiro2

Katikiro2

nominoPlural maKatikiro

kizamani
  • 1

    kizamani mtawala wa jadi katika falme za Buganda na Bukoba ambaye ni wa pili kwa mamlaka baada ya mfalme.

Matamshi

Katikiro

/katikirO/