Ufafanuzi wa katili katika Kiswahili

katili

kivumishi

  • 1

    -siokuwa na huruma.

    dhalimu, kaini, mwovu, nduli

Asili

Kar

Matamshi

katili

/katili/