Ufafanuzi wa katiza katika Kiswahili

katiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

 • 1

  ingilia kati mazungumzo.

  hinikiza

 • 2

  simamisha shughuli bila kuimaliza.

  ‘Katiza safari’
  fupisha

 • 3

  pita njia ya mkato.

Matamshi

katiza

/katiza/