Ufafanuzi wa katu katika Kiswahili

katu

nomino

  • 1

    aina ya gundi kavu itumikayo kama kiungo cha kutafunia tambuu.

Asili

Khi

Matamshi

katu

/katu/