Ufafanuzi msingi wa katushi katika Kiswahili

: katushi1katushi2

katushi1

nominoPlural katushi

  • 1

    kibamba cha madini chenye maandiko.

Asili

Kng

Matamshi

katushi

/katuʃi/

Ufafanuzi msingi wa katushi katika Kiswahili

: katushi1katushi2

katushi2

nominoPlural katushi

  • 1

    ganda la risasi lililotengenezwa kwa karatasi.

Asili

Kng

Matamshi

katushi

/katuʃi/