Ufafanuzi wa kauka katika Kiswahili

kauka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  toka maji na kuwa kavu.

  ‘Nguo imekauka’
  ‘Mto umekauka’
  gungumka, nyauka, zingia

 • 2

  kuwa ngumu k.v. mzoga au viungo vya mwili.

Matamshi

kauka

/kawuka/