Ufafanuzi wa kauleni katika Kiswahili

kauleni

nominoPlural kauleni

  • 1

    mtu ambaye hatumainiki.

    kigeugeu

  • 2

    ndumakuwili, kimbaumbau, mdhabidhabina

Matamshi

kauleni

/kawulɛni/