Ufafanuzi wa kauliflawa katika Kiswahili

kauliflawa, koliflawa

nominoPlural kauliflawa

  • 1

    mmea wa aina ya kabichi unaotoa ua kubwa lenye rangi k.v. nyeupe zambarau na majani mapana, hupikwa na kuliwa kama mboga.

Asili

Kng

Matamshi

kauliflawa

/kawuliflawa/