Ufafanuzi wa kaulimbiu katika Kiswahili

kaulimbiu

nomino

  • 1

    msemo ulio rahisi unaotumiwa na vyama vya siasa, mashirika au matangazo wenye kuwahamasisha watu kufuata wazo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

kaulimbiu

/kawulimbiju/