Ufafanuzi wa kaumu katika Kiswahili

kaumu

nominoPlural kaumu

  • 1

    kishairi umati wa watu fulani.

  • 2

    wafuasi.

    jumuia

Asili

Kar

Matamshi

kaumu

/kawumu/