Ufafanuzi wa kaunda katika Kiswahili

kaunda

nomino

  • 1

    suti ambayo koti lake lina ukosi kama wa shati na mikono mirefu au mifupi.

Matamshi

kaunda

/kawunda/