Ufafanuzi msingi wa kausha katika Kiswahili

: kausha1kausha2

kausha1

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kilicho majimaji kuwa kikavu; fanya kavu.

Matamshi

kausha

/kawu∫a/

Ufafanuzi msingi wa kausha katika Kiswahili

: kausha1kausha2

kausha2

nomino

  • 1

    mtu aletaye mikosi; mtu kisirani.

Matamshi

kausha

/kawu∫a/