Ufafanuzi wa kawa katika Kiswahili

kawa

nominoPlural makawa

  • 1

    kitu kilichoshonwa kwa ukili uliosukwa kwa chane za ukindu kitumiwacho kama pambo la nyumbani au kufunikia vyakula mezani.

Matamshi

kawa

/kawa/