Ufafanuzi wa kawaida katika Kiswahili

kawaida

nomino

  • 1

    jambo linalofahamika au kufanywa na kila mtu.

    mazoea, kaida, desturi, kanuni

Asili

Kar

Matamshi

kawaida

/kawaIda/