Ufafanuzi wa kaya katika Kiswahili

kaya

nominoPlural kaya

  • 1

    kijiji

  • 2

    nyumba moja au zaidi wanazoishi watu wa familia moja.

    ‘Hii ndiyo kaya yetu’
    mji

Matamshi

kaya

/kaja/