Ufafanuzi wa kayaki katika Kiswahili

kayaki

nomino

  • 1

    mtumbwi wa Kieskimo uliofunikwa kwa ngozi ya sili.

Asili

Kng

Matamshi

kayaki

/kajaki/