Ufafanuzi msingi wa kayaya katika Kiswahili

: kayaya1kayaya2kayaya3

kayaya1

nominoPlural kayaya

  • 1

    kelele au shamrashamra kwenye sherehe.

Matamshi

kayaya

/kajaja/

Ufafanuzi msingi wa kayaya katika Kiswahili

: kayaya1kayaya2kayaya3

kayaya2

kivumishi

  • 1

    -a kupita kiwango; -a kupita kiasi.

    ‘Yule mwanamke kayaya’

Matamshi

kayaya

/kajaja/

Ufafanuzi msingi wa kayaya katika Kiswahili

: kayaya1kayaya2kayaya3

kayaya3

kielezi

Matamshi

kayaya

/kajaja/