Ufafanuzi wa kaza katika Kiswahili

kaza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    funga imara; shika sana; tumia nguvu.

    boba

Matamshi

kaza

/kaza/