Ufafanuzi msingi wa kazi katika Kiswahili

: kazi1kazi2

kazi1

nominoPlural kazi

 • 1

  ‘Kazi ya bomba ni kupitisha maji’

Ufafanuzi msingi wa kazi katika Kiswahili

: kazi1kazi2

kazi2

nominoPlural kazi

 • 1

  mapambo.

  ‘Kofia ya kazi’
  ‘Mkeka wa kazi’
  urembo, nakshi

 • 2

  mshono wa shingoni katika kanzu ya darizi.

  ‘Kanzu ya kazi’

Asili

Kar

Matamshi

kazi

/kazi/