Ufafanuzi wa Kazi ya kijungu meko katika Kiswahili

Kazi ya kijungu meko

msemo

  • 1

    kazi ya kumpatia mtu chakula bila ya kubakiwa na akiba.