Ufafanuzi wa kazia katika Kiswahili

kazia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    tia msisitizo.

    ‘Nilimpa godoro jipya na kumkazia alirudishe baada ya kumaliza masomo’
    sisitiza

Matamshi

kazia

/kazija/