Ufafanuzi wa kefle! katika Kiswahili

kefle!, kefule!

kiingizi

  • 1

    neno la kutukana lenye kueleza hasira ya msemaji kwa anayemlaani.

    pumbavu!

  • 2

    hutumika kuonyesha mshangao.

    ebo!, lo!

Matamshi

kefle!

/kɛflɛ/