Ufafanuzi wa kejekeje katika Kiswahili

kejekeje

kivumishi

  • 1

    -enye hali ya kulegea katika ufungaji wa mzigo au bindo la nguo; -a kupwaya.

    chegele

Matamshi

kejekeje

/kɛʄɛkɛʄɛ/