Ufafanuzi msingi wa kejeli katika Kiswahili

: kejeli1kejeli2

kejeli1

kitenzi elekezi

  • 1

    sema maneno ya dharau; fanyia mzaha.

    stihizai, kebehi

Asili

Kar

Matamshi

kejeli

/kɛʄɛli/

Ufafanuzi msingi wa kejeli katika Kiswahili

: kejeli1kejeli2

kejeli2

nomino

  • 1

    maneno ya dharau.

    stihizai

Asili

Kar

Matamshi

kejeli

/kɛʄɛli/