Ufafanuzi msingi wa keketwa katika Kiswahili

: keketwa1keketwa2

keketwa1

kitenzi sielekezi

  • 1

    umwa na tumbo sana.

Matamshi

keketwa

/kɛkɛtwa/

Ufafanuzi msingi wa keketwa katika Kiswahili

: keketwa1keketwa2

keketwa2

kitenzi sielekezi

  • 1

    (kwa mwanamke) tahiriwa.

Matamshi

keketwa

/kɛkɛtwa/