Ufafanuzi wa keki katika Kiswahili

keki

nominoPlural keki

  • 1

    mkate mtamu unaotengenezwa kwa kuchanganya unga wa ngano, mayai, sukari na hamira, pamoja na siagi.

Asili

Kng

Matamshi

keki

/kɛki/