Ufafanuzi wa kelele katika Kiswahili

kelele

nominoPlural kelele

  • 1

    sauti kubwa, hasa isiyokuwa na maana yoyote au ya kukirihisha.

    ‘Piga kelele’

  • 2

    ghasia, fujo, chachawizo, ngenga, nyange, rabsha, kishindo

Matamshi

kelele

/kɛlɛlɛ/