Ufafanuzi wa kelele! katika Kiswahili

kelele!

kiingizi

  • 1

    tamko la kutaka kumnyamazisha mtu anaposema.

    nyamaza!, kimya!

Matamshi

kelele!

/kɛlɛlɛ/