Ufafanuzi wa kemea katika Kiswahili

kemea

kitenzi elekezi

  • 1

    pigia mtu kelele kwa hasira; hamakia.

    gombeza, karipia

Matamshi

kemea

/kɛmɛja/