Ufafanuzi wa kemkemu katika Kiswahili

kemkemu

kivumishi

  • 1

    kwa wingi.

    ‘Wakulima wamepata mazao kemkemu’
    ‘Sema maneno kemkemu’
    tele

Matamshi

kemkemu

/kɛmkɛmu/