Ufafanuzi wa kende katika Kiswahili

kende

nominoPlural makende

  • 1

    mojawapo ya kokwa mbili zilizo kwenye donge la nyama lililo chini ya uume ambamo hutengenezwa manii.

    hasua, korodani, kodo, pumbu

Matamshi

kende

/kɛndɛ/