Ufafanuzi wa kenge katika Kiswahili

kenge

nominoPlural kenge

  • 1

    mnyama kama mamba mdogo aishie nchi kavu, mwenye mwili mwembamba, miguu mirefu na mkia mrefu.

    bomla, uru, mburukenge

Matamshi

kenge

/kɛngɛ/