Ufafanuzi wa kengee ya jua katika Kiswahili

kengee ya jua

msemo

  • 1

    mwanga wa jua nyakati za asubuhi na jioni wakati jua linapotia kiwi machoni.