Ufafanuzi wa kengewa katika Kiswahili

kengewa

nominoPlural kengewa

  • 1

    ndege jamii ya mwewe.

    methali ‘Makuukuu ya tai si mapya ya kengewa’

Matamshi

kengewa

/kɛngɛwa/