Ufafanuzi wa kereketa katika Kiswahili

kereketa

kitenzi sielekezi

  • 1

    udhi

  • 2

    washa kooni au kinywani.

Matamshi

kereketa

/kɛrɛkɛta/