Ufafanuzi wa keshia katika Kiswahili

keshia

nominoPlural makeshia

  • 1

    karani mtunza fedha na anayeshughulikia upokeaji na ulipaji wake.

Asili

Kng

Matamshi

keshia

/kɛʃija/