Ufafanuzi msingi wa kesho katika Kiswahili

: kesho1kesho2

kesho1

nominoPlural kesho

  • 1

    siku inayofuata leo; wakati ujao.

Matamshi

kesho

/kɛʃɔ/

Ufafanuzi msingi wa kesho katika Kiswahili

: kesho1kesho2

kesho2

nominoPlural kesho

Kidini
  • 1

    Kidini
    siku ya kiyama.

Matamshi

kesho

/kɛʃɔ/